Latest News

Friday, March 17, 2017

Jokate awasifia wapenzi wawili ambao ni maarufu kwenye bongo fleva Tanzania.

Jokate ametumia instagram yake kuwasifia wapenzi wawili ambao ni maarufu kwenye bongo fleva Tanzania.
Kupitia instagram yake Jokate amewapa mashavu Baraka Da Prince na Najmakwa kuwa couple anayoamini ni bora zaidi wakiwa pamoja.
Ujumbe wa Jokate ulisema “Perfect Combo, my darlings @najdattani @barakahtheprince_ “.
Hivi karibuni palikuwa na tetesi kuwa Jokate ametengana na Ali Kiba na kwamba staa huyu wa bongo fleva anatoka na meneja wake Seven Mosha.

No comments:

Post a Comment