Latest News

Showing posts with label Laana. Show all posts
Showing posts with label Laana. Show all posts

Tuesday, November 14, 2017

Jike Shupa Afunguka Kuhusu Kuishi na Kuwauza Wanaoshiriki Mapenzi ya Jinsia Moja


Video Queen maarufu, Zena Abdallah anayefahamika kama Jike Shupa, amefungukia skendo ya kuishi na kuwauza wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (mashoga) kwa kusema hajihusishi na hajawahi kuifanya kazi hiyo.

Akizungumza na Risasi Vibes, Jike shupa alisema kwa muda mrefu amekuwa akisemwa kuhusika kuwatafutia mabwana wanaume mashoga, kitu alichodai siyo kweli zaidi ya watu hao kutaka kumchafua.

“Nina marafiki wengi wa kiume, labda miongoni mwao kuna wanaojihusisha na vitendo vya kishoga, ila mimi sihusiki kwa kuwatafutia watu hao mabwana, wanaozungumza hivyo wana nia ya kunichafua,” alisema.

Madhara Ya Kuangalia Video Za Ngono (Porn) Na Namna Ya Kuacha


Kuangalia video za ngono sio jambo jipya kwa jamii yetu, kimsingi ni watu wachache sana wanaweza kujizuia kujichua au kupiga punyeto baada ya kuangalia video za ngono.

Bahati mbaya tabia ya kuangalia video hizi watu wengi huipata wakiwa wadogo sana na usipokua makini tabia hii itakufanya vibaya sana kisaikolojia.

Tabia ya kujichua sasa iko wazi kwa jinsia zote yaani wanawake na wanaume japokua imekua ikiathiri zaidi wanaume sababu ya maumbile yao.

Japo wengi hufanya kwa siri na kuficha ili wasijulikane na wengine. Vijana wengi wamekuwa wakiangalia video hizo wakiwa wamejificha wenyewe chumbani, na hasa nyakati za usiku.

Kuangalia video za ngono kuna madhara mbalimbali ya kiafya na kisaikolojia. Haya hapa ni baadhi ya madhara unayoweza kuyapata kama utaangalia sana video za ngono.
Kuishiwa hamu ya tendo la ndoa na nguvu za kiume

Kuangalia sana video za ngono hukufanya ushindwe kusisimuliwa na mwanamke au mwanaume wa kawaida, video za ngono zina wanawake na wanaume wazuri sana ambao wako vile sababu ya kufanyiwa upasuaji mbalimbali wa kuongeza makalio na matiti, hata wanaume hufanyiwa upasuaji wa kuongeza uume hivyo mwanamke anayeangalia atatamani uume mkubwa kama ule au mwanaume anayeangalia atatamani mwanamke kama yule ambaye katika mazingira ya kawaida hayupo.

Sasa wanaume wanao angalia video za ngono hawawezi kusisimka au kuamsha uume hata mwanamke wa kawaida akipita uchi na hii huweza kuathiri sana mahusiano yao na kuonekana hawana nguvu za kiume kwani wao hutegemea video hizo kuamsha uume.

Kujichua au kupiga punyeto sana
Video za ngono zina wanawake na wanaume tofauti, kila video nzuri unayoangalia utaenda kujichua huku ukimuwaza wanaume au mwanamke husika. Hii itakufanya ujichue hata mara kumi kwa siku kama unaziangalia mara kwa mara. Kuishiwa nguvu za kiume, kusahau sana, kushindwa kumpa mwanamke mimba, kuchoka sana na kufika kileleni haraka wakati wa tendo la ndoa ni moja ya madhara makuu ya punyeto.

Kushindwa kudumu kwenye mahusiano
Kuangalia video za ngono hukufanya uwaze kujiridhisha mwenyewe tu na hata mwenza wako akitaka kulala na wewe unakua hutaki tena. Lakini hata kwa vijana ambao hawako kwenye mahusiano hujikuta wanakua waoga sana kuwafuata wanawake au wasione sababu ya kua kwenye mahusiano. Vile vile wanaume hushindwa kuwaridhisha wenza wao na wanawake kusingizia kuchoka kila siku.

Kuanza kufanya ngono ambazo sio za kawaida
Hivi karibuni idadi kubwa ya wanawake wamekua wakijihusisha sana na mapenzi ya kinyume na maumbile. Hii imesababishwa sana na kuangalia video za ngono na kuona ni kitu cha kawaida wakati kina madhara mengi. Wanawake waliozoea kuingiliwa nyuma hata wakiolewa huendelea kufanywa na wanaume wa nje hasa kama waume waliowaoa hawajawahi kujihusisha na tabia hiyo. Aina zingine za ngono ambazo zinababishwa na tabia ya kuangalia video hizi ni ushoga, usagaji, au mwanamke kulala na wanaume zaidi ya mmoja au mwanaume kulala na wanawake zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja.

Inawezekana wewe unayesoma hapa tayari hii tabia inakuumiza sana kwa sasa na umeshindwa kuiacha, kuna mambo ya msingi unaweza kufanya ili uweze kuacha kuangalia video hizi..

Ondoa zana zote za kuangalia video hizi
Kama una tarakilishi (computer) au simu futa video zote, futa tovuti (website) zote za video ambazo unazitumia kuangalia. Kuna watu wamo kwenye makundi ya WhatsApp ya kutumiana video za ngono, ondoka kabisa huko kwani unajiharibu.

Anza kufanya mazoezi
Ni mazoezi pekee yanayoweza kumfanya mtu aweze kuachana na tabia zote ambazo sio za kawaida ambazo alikua anazifanya kipindi cha nyuma. Unapofanya mazoezi utatumia nguvu nyingi na mwili wako utachoka na kupata usingizi. Vilevile ufanyaji wa mazoezi hukuepusha na kukaa bila shughuli yoyote.

Jijengee tabia ya kukaa na marafiki zako muda mrefu au kufanya shughuli nyingine zitakazokuweka ‘busy’

Kama una tabia ya kuangalia video hizi basi, fanya mpango uwe unafanya mambo mengine muda ambao umekua ukiangalia hizi video, ikiwemo kusoma vitabu au kuongea na watu. Hii itakusaidia kusahau video hizo na kuacha kabisa.

Pata ushauri wa kitaalamu na matibabu
Unaweza kumuona mtaalamu wa ushauri wa kisaikolojia ili kukusaidia ushauri wa namna ya kufanya ili kuepukana na tabia hiyo. Kama umeshapata madhara kiafya, basi waone wataalamu wa afya hasa masuala ya uzazi ili wakushauri namna ya kulitibu tatizo lako.

Jenga mahusiano ya karibu na mpenzi wako
Hii itakusaidia kumuwaza yeye zaidi ya video za ngono na pia pale unapopata hamu ya kufanya mapenzi basi hutoogopa kumwambia ili mfanye. Kuwa karibu na mpenzi wako kutakujengea ujasiri na kuyakuza mahusiano yenu. 

Friday, March 17, 2017

Jike Shupa afunguka kuhusu vitendo vya usagaji instagram….


Video Queen maarufu Jike Shupa kupitia #FridayNiteLive na #Sammisago amefunguka kuhusu kitendo cha kumbusu video queen mwenzake anayefahamika kama Nai Official kwenye mitandao ya kijamii.
Jike Shupa amewahi kuonekana kwenye video ya Nuh Mziwanda ‘Jike Shupa’ na Nai yupo kwenye video mbili maarufu ambazo ni #Mazoea ya Billnas na #UsimsahauMchizi ya Roma & Moni.
Kwenye #FridayNiteLive  Jike Shupa amesema “Zilepicha na kile kitendo nilifanya wakati nimelewa sana, sio tabia yangu kabisa, zilikuwa pombe tu, ni pombe tu, naomba Watanzania wanisamehe kwa kitendo kile ,naomba msamaha, zilikuwa pombe, mimi sio msagaji
Pia Jike Shupa amesema kuchwana na kukanwa na Wema Sepetu ni sawa tu kwa kitendo kama kile ata yeye angejikana.

Friday, June 26, 2015

Aging socialite VERA SIDIKA is back, See what she did for men, +18 VIDEO

After taking a break from social media, aging socialite, Vera Sidika, is back with her usual madness.

This time round, she decided to leave little to men’s imagination after releasing her best twerk video ever. She did it in her house and few men can get enough of her crazy moves.

Just relax and watch her s3xy moves in the video below.

Friday, May 22, 2015

Huddah Monroe Unleashes Steamy Bikini Shots

KUTAZAMA PICHA na VIDEO YAKE AKIWA MTUPU BONYEZA HAPA JUU=>>>


Controversial Kenyan model and former BBA rep, Huddah Monroe recently attended the star studded gig ofDiamond Platnumz’s girlfriend , Zari Hassan in Tanzania.
Here, she shows off some smashing photos as she cools off at Infinity pool, in Kilimanjaru Hotel.
Huddah-Monroe-in-Bangkok-1
Huddah-Monroe-600x595Huddah 1Huddhud1hud
Huddah, who represented Kenya at the 2013 edition of Big Brother Africa, ‘The Chase’ took to her Instagram account to share some steamy photos, where she’s seen wearing a pink hat and hot striking bikini.
Huddah-Monroe-2
huu
HuddahM1
huddah11
huddah1
[3.00 MB]NOMA SANA, KuDOWNLOAD VIDEO YaO WAKIBANDUANA BONYEZA HAPA CHINI=>>

Sunday, May 17, 2015

2 REASONS WHY CURVY LADIES ARE THE BEST IN BED, DO YOU AGREE?

[3.00 MB]NOMA SANA, KuDOWNLOAD VIDEO YaO 
WAKIBANDUANA BONYEZA HAPA JUU=>>


1) BO0BS
Not every curvy girl has large bo0bs but the chances are 80% are favored with big bo0bs are everything and more. There is hardly any man that doesn’t fancy bo0bs as this is usually the first step of foreplay before s3x.

2) BO0TY
Big bo0ty in children are as a result of Omega 3 fatty acid they store and there is NO curvy girl without a big bo0ty . Being with a curvy girl is your subconscious way of ensuring healthy kids.


KUTAZAMA PICHA na VIDEO YAKE AKIWA MTUPU BONYEZA HAPA CHIN=>>>

Friday, May 8, 2015

JUA SABABU YA MADEMU KUPENDA KUTOKA NA VIZEE? SOMA HAPA >>>





Nimepanda lift kwenye moja ya jengo maarufu na refu hapa mjinikati karibu na Ohio st. Niko ndani ya lift mzee mmoja smart anongea na simu kwa sauti ya maringo , upole na yenye kujiamini, kulikua kimya hivyo unasikia kabisa upande wa pili ni sauti ya kasichana mazungumzo yalikua hivi.

Mzee - What do you mean..I've told you before not to worry it is within my capability usichukue gari ya chini, chagua landcruiser au yoyote ya juu.

Mdada.- '............. .... ....... ..... ........ ........ .... ............

Mzee. - Ok no problem, njoo sasa hivi uchukue cheque kwa ajili ya kuwalipa NSSF niliongea na mkurugenzi wake akanipromse a nice location for your appartment.

Anyway we njoo ukifika go to reception I have already reserve a place, just wait me in the room nina kikao na waziri nikimaliza nakuja.

Niliwai kufika nikatoka liftini nikamuacha bado anaongea.

Kwa kweli niliona hamna sababu ya kuwasema wadada wanaotembea na wazee this dudes knows how to care jamani......

Vijana Siku hizi Hawajui Kuhonga zaidi ya Kuchafuana tu hata hela ya kununua sabuni ya kujisafishia hupati.

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI

Thursday, May 7, 2015

SEHEMU 12 ZA KUMSHIKA MWANAMKE WAKATI WA TENDO LA NDOA


Tumia midomo yako,ulimi wako na meno yako kuchezea mdomo wake wa juu na wa chini na umbusu kwa msisimko mkubwa. Kunyonya ulimi pia huchangia kuongeza kasi ya mwanamke kwenda kileleni.(usafi wa kinywa kwa wote wawili ni muhimu).


2. UKE NA KINEMBE.
Tumia kidole chako cha kwanza cha mkono wa kulia polepole pitisha katika mfereji wa uke ukianzia chini (kutokea kwenye matako) ukipandisha juu, fanya hivyo mara kadhaa. Kutegemea umbo lako na urefu, unaweza kuchanganya zoezi hili na kunyonya matiti yake na hapo utaona upumuaji wake ukibadilika na majimaji yakiongezeka kwenye uke.

Kwa kawaida kinembe cha mwanamke kimejificha lakini ukifanya vizuri zoezi la hapo juu na chenyewe kama uume kitajaa damu na kuinuka. Kinembe kipo juu kabisa ya mfereji wa uke na kina ukubwa wa harage au kwa wanawake wengine huwa kidogo zaidi. Tumia kidole chako cha kwanza na taratibu zungusha zungusha kidole juu ya kinembe, pandisha na kushusha kidole chako na hapo unaweza kumfikisha kwenye kilele cha utamu wa mapenzi hata kabla ya hujaiingiza uume. 

Wanawake wengi watafurahia ukitumia uume wako uliosimama vizuri kupigapiga eneo la kinembe na hii huufanya uume kuwa wa moto na unapomwingilia joto la uume wako litafanya raha ya tendo hili kuwa kubwa zaidi. Kinembe ndio sehemu ambayo kwa asilima 80 huhusika na kazi ya kumfikisha mwanamke kileleni na kwa kuwa kinembe kiko mbali kidogo toka kwenye tundu la uke, sio rahisi kwa uume kukifikia kinembe, hivyo mwanaume anatakiwa ajisukume kwa makusudi kabisa kwenda mbele ili shina la uumelisugue kinembe wakati wa kuingia na kutoka kwa uume. 

3. MATITI YAKE. 
Matiti yake ni sehemu muhimu sana kwa mwanamke kama ilivyo kwa uke wake. Utampatia raha kamili mwanamke kama utayapapasa papasa matiti yake utayaminyaminya kwa upole wa kimahaba, utayalambalamba na kuyanyonya.

4. MASIKIO YAKE. 
Wanawake wengi hupata burudani masikio yao yanapolambwa au kunyonywa au kupigwa busu.

5. SEHEMU YA NYUMA YA SHINGO 
Tumia ulimi wako kulamba sehemu ya shingo yake kwa mwendo wa kutekenya tekenya.Tumia ncha ya ulimi kutekenya tekenya kwa kufanya mduara na kuendelea kuchora mduara na kurudiarudia.

6. SEHEMU YA NYUMA YA GOTI. 
Sehemu ya nyuma ya goti ina miishio mingi ya mishipa ya fahamu na utashangaa jinsi ambavyo mwanamke atapata burudani kwa kuishughulikia vyema sehemu hii.

7. SEHEMU YA NDANI YA MAPAJA. 
Tumia ubapa wa kiganja chake kupapasa kwa ulaini sehemu ya ndani ya mapaja yake, fanya hivyo juu juu huku ukimbusu busu mapaja yake.

8. MATAKO YAKE. 
Wanawake wengi wanapenda matako yao yachezewe kimahaba,anza kwa kuyapapasa papasa,endelea kwa kuyaminya minya kwa kutumia vidole.

9. MIISHO YAKE. 
Miguu yake imejaa miishio ya mishipa ya fahamu kiasi ambacho baadhi ya wanawake wanaweza kufika katika kilele cha burudani ya tendo la ndoa kwa miguu yao kusuguliwa na kupapaswa.

10. USO WAKE. 
Mwanamke atafurahi sana utakaposhika uso wake katika hali ya mahaba na huku ukitabasamu. Wakati ukifanya hivyo unaweza kumbusu midomo yake, mashavu na kwenye paji la uso.

11. HIPS ZAKE. 
Sehemu hii ni moja ya sehemu ambazo zitamfanya mwanamke ajisikie amekubalika kabisa iwapo utashika wakati wa tendo la ndoa.

12. G-SPOT 
Sehemu hii iko ndani ya uke ambayo inapata hisia kubwa sana ikibonyezwa bonyezwa, sehemu hii ipo sentimeta 5 kutoka mlango wa uke na iko katika ukuta wa juu wa uke.Sehemu hii ikibonyezwa na kuchezewa ipasavyo mwanamke anaweza akapizi mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja. Hii ni njia rahisi ya kumfikisha mwanamke kileleni, mwanaume aingize kidole kwenye uke na kubonyeza na kusugua sehemu ya juu ya uke, sehemu hii imekaa kama sponji na huwa ngumu kwa kadiri
inavyobonyezwa.

Mwanamke anawezakujisikia kama anataka kukojoa kabisa na hawezi kukojoa ila raha atakayopata ni kubwa sana. 

NB.Ni muhimu kutambua kuwa sehemu hizi 12 ni muhimu. Suala lililo muhimu sana ni wawili wapendanao kuwa wawazi na wawe na uhuru wa kuambiana jins

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI

BINAMU YANGU ANAPENDA KUKAA UCHI KILA AKINIONA



Mimi ni kijana ninaeishi na kufanya kazi Dodoma, mwezi desemba nilienda kumtembelea binamu yangu alieolewa Dar es salaam, anaishi maeneo ya ukonga.


Kuna matukio yanayotokea na kunishangaza,sasa chumba anacholala binamu yangu na mme wake vinapakana na choo na bafu kama mara tatu hivi wakat naenda bafuni kuoga nilimkuta binamu yangu kaacha mlango wazi huku yuko uchi nikageuka haraka nikarudi nilikotoka.


Mara ya pili binamu yangu alikua ametoka chooni, sasa mimi nilikua naenda kuoga nikamwona bwana akiwa uchi, mara ya tatu tena alikua uchi chumbani huku ameacha mlango wazi cha kushangaza alipogundua hakuhangaika kujisitiri aliendelea na mambo yake,nilipogeuka kumkwepa ndio nikasikia samahani huku akiwa hajali kilichotokea.

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI

Wednesday, May 6, 2015

HIZI NDIZO ISHARA KUBWA TATU ZA MWANAMKE ALIYEKUZIMIA KISAWASAWA. soma hapa=>

Ni muhimu sana kwako mwanaume kujua kwa uhakika kuwa mwanamke anakupeda kweli kweli,utajuaje kuwa mwanamke anakupenda? Zifuatazo ni ishara ambazo wewe kama mwanaume unapaswa uwe makini ili uweze kuziona na haraka kumtolea uvivu huyo mwanamke.* Mwanamke anayekupenda atahangaika juu yako, atahangaika juu ya usalama wako,raha yako,heshima yako na maendeleo yako.Hii ni moja kati ya ishara kubwa kuwa mwanamke huyo anaupendo na wewe.* 

Mwanamke anayekupenda atakuonea wivu mara kadhaa,Wivu ni ishara kuwa anakupendawewe na anataka akulinde usiibiwe au asije akakupoteza,anaogopa usije ukatoka katika maisha yake,au kwa maneno mengine usije ukamtoa moyoni mwako na nafasi yake ikachukuliwa.Japo wivu ukizidi sana pia inaweza kuleta tatizo.* 

Mwanamke anayekupenda atakapokuwa mbele ya marafiki zake au watu wengine atacheka nao lakini atakugeuzia ww macho/uso wake haraka sana. Kufanya hivi ni kuonyesha kuwa anakuhesabia ww kuwa utaweza kumletea furaha katika maisha yake,zaidi ya hilo ni kwamba anatumaini kuwa utamuona kuwa yeye ni mtu aliye rahisi kufurahishwa kwa kuwa yeye ni mtu wa furaha.*

 Mwanamke anayekupenda ataendelea kukuangalia usoni kwa muda mrefu kuliko ilivyo kawaida ya wanawake wengine,mara nyingi atakuangalia na kutabasamu vizuri. Hii huenda ni ishara moja muhimu sana ya kukuambia kuwa “NJOO NIKO KWAAJILI YAKO.”Hivyo kama ulikuwa unahisi unamhitaji basi ni wakati mwafaka wa kumfuata na kumweleza ukweli na kirahisi nakuhakikishia unabeba mzigo kwani ni mtu tayari aliyekuwa anahisia kali za mahaba juu yako
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI

Monday, May 4, 2015

Kim Kardashian Rocks Pink Lingerie In New Throwback "Selfish" Photos!



Kim Kardashian's giving us one sexy sneak peek! 
The "Keeping Up with the Kardashians" star shared a few photos via Instagram on Sunday from her new book, "Selfish" -- and we're getting to see some never-before-seen pics of the Mrs. Kanye West in just her undergarments.  
"Don't think I didn't put lots of sexy pics in my new book #SELFISH," the 34-year-old captioned the risque snap. 
While these photos do look like they're a few years old, North West's mama sure knows how to steal the spotlight!
Kim's new book, "Selfish" hits stores tomorrow and according to the publisher, the book "presents some of Kim’s favorite selfies in one volume—from her favorite throwback images to current ultra-sexy glam shots—and provides readers with a behind-the-scenes look into this larger-than-life star." 
We can't wait to see more pics like this -- what do you think about the reality star's latest round of selfies? Tell toofab in the comment section below and click "Launch Gallery" above to see more of Kim's best TwitPics! 

Wednesday, February 25, 2015

Shocking..!! Video of LuLu Having S3x With A Man Leaked, Check out here...!!

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.

CLICK BELOW TO WATCH

Thursday, January 22, 2015

RUSHWA YA NGONO YAMNASA KANJIBAI

Kanjibai akiwa mpole baada ya kufumaniwa.
OFM YATONYWA
Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, ikiwa kwenye ‘mingo’ zake ilipewa ‘ubuyu’ na vyanzo vyake kwamba ifike katika nyumba moja iliyopo Tandale jijini Dar es Salaam kwani kulikuwa na zoezi la ufichuaji wa maovu.
MAOMBI YA KAZI
Kabla ya tukio hilo, ilidaiwa kwamba hivi karibuni Kanjibai na Hidaya walikutana maeneo ya Kariakoo jijini Dar ambapo mwanamke huyo alikwenda kutafuta kazi.
Ilidaiwa kuwa baada ya kusalimiana mazungumzo mengine yaliendelea huku jamaa huyo akitaka mambo matamu-matamu ya chumbani kwa ahadi ya ajira:
“Kazi kwishapata lakini lete ile kachori (rushwa ya ngono), mimi patia kazi wewe, sawasawa?”
...Akiomba kuachiwa baada ya fumaniza hilo.
KANJIBAI ATUMA VIMESEJI VITAMU
Ilidaiwa kwamba baada ya wawili hao kuagana, Kanjibai alianza kumchombeza Hidaya kwa ‘vijimeseji’ vitamu-vitamu kupitia mitandao ya simu za mkononi hasa hizi za kisasa za kuteleza ‘smart phones’.
Iliendelea kudaiwa kwamba siku ya siku, wakiwa nyumbani kwao maeneo hayo ya Tandale, Dar, mume wa Hidaya aligundua mchezo huo mchafu baada ya kunasa mawasiliano haramu kati ya Kanjibai na mkewe ambapo alianza kumbana ‘maiwaifu’ wake ampe ushirikiano wamshike ugoni.
UTETEZI
Ilidaiwa kwamba, katika utetezi wake, mwanamke huyo alimwambia mumewe kuwa jamaa huyo alikuwa akitaka mapenzi ili ampatie ajira kwenye kampuni moja iliyopo Kariakoo, Dar.
MTEGO WAANDALIWA
Baada ya kukubaliana, mume na mke waliandaa mtego ambapo Hidaya alimwelekeza Kanjibai anakoishi Tandale.Ilielezwa kwamba, Kanjibai, bila kujua kinachoendelea huku akiomba maelekezo katika kila hatua, alifanikiwa kufika kwa wanandoa hao na kuzama ndani.Ikasemekana kwamba, jamaa huyo alipotimba ndani alikaribishwa chumbani ambapo hakuchukua muda, akasaula nguo zote na kubaki mtupu akiwa tayari kutekeleza uzinzi.
BONGE LA FUMANIZI
Baada ya Hidaya kutoa ishara kwa mumewe kuwa mambo ‘yameiva’, OFM wakatonywa ambapo bila kuchelewa, kama kawaida yake, mkuu wa zamu aliwaagiza vijana wake ambao walitoka mkuku kwa kutumia pikipiki ziendazo kasi kuelekea eneo la tukio.
OFM ilipofika eneo la tukio ilikuta bonge la sekeseke la fumanizi likiendelea huku Kanjibai akiwa mtupu kitandani, chumbani kwa wanandoa hao akiomba msamaha kwa kutumia Kiswahili cha ‘makabachori’ huku akiahidi kutorudia mchezo huo mchafu.
KISWAHILI MBOVUMBOVU
“Iko samehe mimi bana, pana jua hii kama mke ya mtu, iko najua ishi peke yake, hapana ambiya mimi kama olewa, samehe mimi ngoja ita kaka yangu jua vizuri Kiswahili ongea na wewe lakini hapana peleka mimi polisi, iko ogopa sana pelekwa Segerea,” alisikika Kanjibai akijitetea huku akimuomba mume wa mwanamke huyo pamoja na ndugu zake wamsamehe na wasimpeleke polisi kwani anaogopa kupelekwa Gereza la Segerea jijini Dar.
MKONO WA SHERIA
Hadi OFM inaanua virago eneo la tukio, mume, mke na wapambe walikuwa katika taratibu za kufuata hatua zinazostahili ili kumfikisha Kanjibai kwenye mkono wa sheria.
ONYO
Gazeti hili linatoa onyo kwa vitendo viovu vya ngono na kushauri wote wanaohitaji wenza kufuata taratibu zinazostahili ili kupunguza kasi ya mafumanizi, maradhi na migogoro mbalimbali katika jamii la sivyo OFM ipo kazini kila sehemu, kila saa kuwaumbua. - Mhariri.