Latest News

Wednesday, January 29, 2020

Vanessa Mdee Aendelea Kumpa Sifa Mpenzi Wake Rotimi....


Vanessa Mdee afunguka vigezo vya mwanaume wa kuwa mumewe baba watoto wake, mojawapo ni kuwa na mapenzi ya kweli -
-
“Siku zote nimekuwa nikitamani kuwa na mwanaume mwenye roho nzuri, sio yule ambaye akiwa na mimi anani- treat vizuri lakini akitoka huko nje anakuwa na roho mbaya, lakini pia awe na akili na mcha Mungu kwa sababu mwanaume akiwa na hofu ya Mungu anakuwa na heshima kwa wanawake, mpenzi wangu(Rotimi) anavyo vigezo hivyo, tuzidi kuombeana,” Vanessa ameiambia GPL

No comments:

Post a Comment