Latest News

Tuesday, November 14, 2017

Rosa Ree Aweka Wazi Kuhusu Kusumbuliwa Mitandaoni na Wanaume


Msanii wa muziki wa rap Bongo, Rosa Ree amefumguka mambo kadhaa kuhusu maisha yake ya kimahusiano.

Awali ya yote rapper huyo amesema haamini namna alivyojiweka kunawafanya baadhi ya wanaume kuogopa  kumtongoza licha ya kuwa na mvuto

“No I think sijui wananiogopa, I don’t know but am not polity am just confidence in myself” amesema Rosa Ree.

Hata hivyo ameongeza kuwa ambaye atakuwa na ujasiri na kujitokeza yeye yupo tayari iwapo muhusika atakuwa na nia njema.

Katika hatua nyingine amekiri kusumbuliwa na wanaume katika mtandao wa Instagram kwa kusema, ‘ku-slide kwenye DM ni normal ipo in today as well lazima uitegemee, so hiyo yeah!, every day” amesisitiza. 

No comments:

Post a Comment