Latest News

Friday, January 9, 2015

PACHA WA WEMA SEPETU, TUERNY AVUJISHA PICHA ZAKE ZA CHUMBANI AKIWA NA ROMY JONES (18+AGE).

Penzi lilipo baina ya Dj wa msanii Diamond Platnumz, Romeo Jones na Tuerny ambaye anafanana sana na Wema Sepetu ni la wazi sana na imefikia hatua hata wao wenyewe kuachia picha zao wakiwa sehemu za faraga na hata zile za screen saver kama alichofanya Romeo kuweka picha ya mpenzi wake na kupost kwenye social networker.

Picha yao iliyovuja wakiwa chumbani iko hapa chini

Romeo Jones na TuernyWengi wamekuwa hawamfamu Tuerny lakini historia fupi ni kwamba miaka ya nyuma alikuwa mpenzi wa Romeo lakini alimwacha na kwenda kuolewa marekani ila haikuisha mwezi akaachika na kurudi bongo na alivyorudi bongo wakarudiana na mpenzi wake wa zamani Romeo jones na ushahidi wa video iko youtube iko hapa chini na kama kifaa chako hakina uwezo

No comments:

Post a Comment