Latest News

Tuesday, March 14, 2017

Nuh Mziwanda na mkewe Nawal wapata mtoto wa kike


Nuh Mziwanda na mkewe Nawal wamefanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza wakike.
Akiongea kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM, muimbaji huyo amesema kuwa mke wake amejifungua jana usiku na tayari wamempatia jina la Anyagile.
Nuh na Nawal walifanikiwa kufunga ndoa mwezi Novemba mwaka jana. Wakati huo huo hitmaker huyo wa Jike Shupa ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Anameremeta’.

No comments:

Post a Comment