Mimi ni mwanamke.Naomba msaada wa mawazo maana sijui nina nini mimi…
Umri unanitupa mkono maana nakaribia miaka 35 lakini sijampata aliyewahi kunitangazia ndoa.Cha ajabu kila anayelala na mimi siku ya pili harudii tena na hata nikimpigia simu hapokei
Hapo ndo linapoanzia tatizo na kunifanya nijisikie vibaya…Saivi hata mtaani nachagua kwa kupita…
Kuna mwanaume mmoja huyo ndo aliwahi kunichana live kuwa nina maji mengi na UCHI wangu ni mkubwa kiasi kwamba ha piz hadi amfikirie mpenzi wake wa zamani…
Jamani naomba msaada nifanyaje mie. Je kuna dawa ya kupunguza haya maji na kuifanya hii MAMBO iwe ndogo?
No comments:
Post a Comment