Tunapoamua kufanya jambo sio kwamba tunafuata mkumbo au kulazimishwa
bali ni our choice Kufanya ng0no kusiko a.k.a 0713 “MWIKO” katika jamii
nyingi Ulimwenguni sio kwa vile tu inamaanika kuwa ni uchafu na
inamadhara makubwa ya kimwili, kiakili na kiafya bali ni kinyume na
mafundisho ya imani zetu za Dini.
Kinachofanyika chumbani ni uamuzi wenu ninyi wawili mnaopendana ikiwa tu
mtakubaliana na kufanya hivo na pia ni siri yako wewe na mpenzi wako,
kuna wapenzi wengi tunafanya mambo ya ajabu sana na watu tunaowapenda na
tunafurahia na tunazidi kupendana na kutakana zaidi na zaidi kila
siku….lakini mambo hayo ni “tab0o” ktk jamii kama ilivyo kwa Tigo au
Ukware/uziNz!
Kuna baadhi ya watu (wake kwa waume) hujaribu na kisha wanajikuta
wanafurahia na hivyo wanaendelea na kuna wengine hutaka kujua
“unajisikiaje” lakini wanajikuta hawafurahii au mmoja wao hafurahii na
hivyo wanaacha na kutorudia tena tendo hilo la mugongo-mugongo.
Pamoja na kuwa watu kuheshimu miiko ya dini zao, kupinga na kulisema
vibaya tendo hili wachunguzi wa mambo ya Tigo wanadai kuwa mwanamke
mmoja kati ya wanne anashiriki ngono ya nyuma (sasa hii sijui ni
kuridhisha wapenzi au ni wao wanafurahia)…….wazoefu watusaidie hapa.
Ukweli kuhusu Tigo.- Sio tendo asilia ktk swala zima la ng0no na mapenzi
hivyo kumbuka unapoamua kugawa tako kuwa na uhakika ndio kitu unataka
kukifanya na sio kukifanya kwa vile “mchumba” kaomba/anataka…..wewe ndio
mwenye maamuzi makuu ya nini unataka kifanyike mwilini mwako.
Kama unahisi unachokwenda kukifanya sio “n*atural*” na hujisikii vema kushiriki ng0no Tigo basi acha/kataa kufanya hivyo.
-Mara mishipa ya Tigo ikitanuka kutokana na kufanywa huko mara kwa mara
huwa haijirudi kama ilivyo kwenye uke kwa vile haikuumbwa kwa ajili ya
shughuli hiyo.
-Wengi tunaamini kuwa kufanywa nyuma ni kwa mashoga tu lakini kuna
wanawake wanafurahia kama ilivyo ngono ya mdomo na baadhi hujigeuza kama
njia mbadala ya kuzuia mimba au kulinda bikira (zaidi ni ktk jamii ya
waarabu).
-Ukizoea sana kupigwa nyuma na mishipa ya huko kutanuka, basi
inasemekana kuwa utatatizwa wakati wa kujifungua/kuzaa, si hivyo tu bali
unaweza ukawa na tatizo la kuvuja mkojo kwani hutoweza kukaza tena
misuli yako ukeni ambayo hulegea baada ya kuzaa.
Swala muhimu sio kutisha watu bali kuwaelimisha na kuwaachia wao
wachague mchele upi na pumba zipi. Ukiangalia yale yote yanayokatazwa au
kuitwa miiko ndiyo yanayofanywa zaidi kuliko yale tunayoruhusiwa
kuyazungumzia na kuyatenda.
MADHARA MAKUU NI:
Mwanamke anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa
kujifungua ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati
akijaribu kumsukuma mtoto.
Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha kumshushia hadhi yake mbele ya jamii.
Umri unaposonga, haja kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter inayobana njia ya haja kubwa kulegea.
Inaweza kusababisha saratani ya eneo hilo ‘cancer of col0n’.
Ugonjwa wa UTI, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana
akitokea mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya ngono kama
kawaida, bakteria wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa na madhara
makubwa.
hasara yake kubwa mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa, pia
ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu,
kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.
Paparaziwetu inakushauri na inapinga kwa nguvu zangu zote swala la Ng0no
kusiko (tigo) ila na heshimu chaguo/uamuzi wako…..wewe ndio mweye mwili
na unafanya vile utakavyo.
Ushuri wa bure-Jiheshimu na thamini mwili wako…..usitoe tako lako kama
dawa ya kumfanya mume asitoke nje au akupende zaidi…..ni aibu mumeo
akikuta nyuma jamaa waliwahi pia.
Pia anaweza kumuua mtoto kwa vile kila akimsukuma atoke, pumzi hukata
kutokana na misuli inayofahamika kwa jina la ‘sphincter’ kulegea na
kusababisha ambane mtoto.
No comments:
Post a Comment