Mtaalam wa mapenzi, Bi. Layla Quinn,
anasema wamaume ni viumbe rahisi sana kuridhishwa tunapokuja katika suala la
unyumba. Mwanzoni, kitu kinachomhamasisha mwanaume kujamiiana ni muonekano wako
(mwanamke) tu wakimahaba, lakini kadri siku zinavyokwenda ndani ya mahusiano,
inakuwa ngumu kupandisha munkari wake, hata kama wewe ni mwanamke mrembo
barabara!
Bi. Layla anaendelea kusema kuwa,
kumridhisha mwanaume wako kitandani inaweza ikawa rahisi kama tu utakumbuka
kuweka mambo katika hali ya mvuto ( Remember to keep things intereting!).
Tafuta namna ya kuleta hamasa, iliyokuwepo siku za mwanzo mwanzo, na kwa hakika
utakamata usukani. Sasa swali linakuja…..Nini unatakiwa kufanya, ili
kumridhisha mwanaume wako kitandani? Kujibu swali hilo, Bi. Layla amekuja na
sheria 10 zifuatazo, ambazo kama zitazingatiwa kwa makini, basi mwanamke
hatokuwa na shida ya kumridhisha mwanaume wake kitandani na nyanja nyingine
muhimu za mahaba.
# 1 Vaa vizuri. Utamu wa kujamiiana
unaweza ukawa kwenye tendo lenyewe, lakini matamanio ya kufanya tendo hilo,
yanategemeana na mambo mengine mengi. Vaa vizuri wakati wa kulala wakati wote,
na sio tu wakati wa usiku, ambao unataka kufanya mapenzi. Vaa nguo nyororo,
yenye mtelezo unaomwagika mwilini. Kwa vazi hili na mtembeo wa kimahaba
chumbani, mwanaume wako hatotaka kutoa mikono yake mwilini mwako.
#2 Usiwe mtu wa aibu aibu
linapokuja suala la kujamiiana. Mwaume anaweza akakupenda kwa mapozi yako na
aibu kwanza (lugha iliyotumika hapa ni “innocence”), lakini hamna mwanaume
atakaye endelea kuvumilia mwanamke, ambaye anastushwa kirahisi na kila kitu
(mitindo ya kujamiiana), isipokuwa mtindo wa kifudi fudi, maarufu kama “Kifo
cha Mende”. Wanaume wanapenda wanawake, ambao ni wataalam kitandani. Wanaume
wanapenda wanawake, ambao wanajiamini na wanabuni manjonjo mbalimbali wakati wa
shughuli. Kama unataka kumridhisha mwanaume wako kitandani, basi soma mbinu
mbalimbali, ambazo zinatumiwa na wapenzi mbalimbali.
#3 Fanya mazoezi na onekana Bomba.
Wanaume ni watu wakujali sana muonekano wa mwanamke. Kwahiyo, sio lazima
kuonekana kama walimbwende wa vichupi, lakini mtazamo wa karibu na hapo,
utakuongezea mvuto zaidi kitandani. Ndio, mwanaume wako “anakupenda kama
ulivyo” na tila lila nyingiiiii…..lakini lazima tuukabili ukweli kwamba watu
wenye kufanya mazoezi wanaonekana na mvuto zaidi, hakuna kupinga hilo. Hata
kwetu Bongo katika nyakati hizi za utandawazi, wakina kaka wengi wanawaona
wanawake kama wakina Naomi Campbell na Jennifer Lopez, ambao wanatamani kuwa
nao. Lakini hauhitaji kuwa kama wakina Naomi na Jennifer kumridhisha mwanaume
wako, bali hakikisha tu upo katika umbo zuri la kumpelekesha kirahisi
kitandani, Basi!
#4 Kuwa Mchokozi.
Hapa haimaanishi ule uchokozi wa kuleta ugomvi, lahasha! Bali, ni ule uchokozi,
ambao kwa lugha ya kingereza unafahamika kama “Tease”, kwa maana hiyo basi
tunasema “Tease him”. Cheza nae michezo mbalimbali na burudika nae ipasavyo, na
michezo isiwe ya kitandani tu, kama karata na kadhalika, bali michezo ya hata
nje ya kitanda kama kukimbia na kucheza kidali po! Kama unataka kuwa mjuzi
kitandani, basi unatakiwa umfanye mwanaume wako akutake wakati wote na popote
pia. Kujamiiana sio kitasa ambazo unawasha na kuzima mnapokuwa chumbani tu.
Mchokoze chokoze wakati mnasakata muziki jukwaani, na mchokoze chokoze (katika
mitindo ya kimahaba, bila kuvuka mipaka) wakati yupo na marafiki zake.
#5 Jiamini na
Jipende. Ndio, utaonekana vizuri zaidi ukipunguza maunene, lakini hiyo
haimaanishi kwamba haupo bomba. Hakuna kinacho kera wanaume, kama mwanamke,
ambae anauonea aibu mwili wake mwenyewe wakati anafanya mapenzi. Jiamini kuhusu
mwili wako wakati upo mtupu, na jaribu mambo mbalimbali na mwanaume wako.
Usikose muendelezo wa sheria 5 za mwisho juma lijalo
No comments:
Post a Comment